send link to app

Nyimbo za Kristo


4.4 ( 64 ratings )
Kitaplar
Geliştirici: DEONHUB LIMITED
ücretsiz

Nyimbo za Kristo ni program tumishi iliyotengenezwa kwa makusudi ya kusaidia usomaji wa nyimbo za kristo kwa kutumia iPhone, iPad na iPod touch ukiwa mahali popote!. Programu hii ina mambo yafuatayo:
1. Kutafuta Jina au Namba ya wimbo
2. Kusoma wimbo
3. Kusikiliza sauti ya wimbo
4. Kusoma noti za wimbo
5. Kutafuta nyimbo za makundi mbalimbali